Header Ads

VIDEO; Vyama vya upinzani waunga mkono vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Freeman Mbowe amethibitisha na kusema kuwa wao kama chama kikuu cha upinzani pamoja na vyama vingine vya upinzani wanaunga mkono jitihada za upambanaji dhidi ya wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya ila hawatounga mkono iwapo vita hivyo vitapiganwa kwa hila.
Pia Freeman Mbowe amekanusha vikali tuhuma za kuhusika na biashara au kutumia madawa ya kulevya.

Anasema wao kama chama wanaunga mkono jitihada za mapambano dhidi ya dawa za kulevya.


        innowise.blogspot.com

No comments:

Powered by Blogger.