AUDIO | P The Mc ft Ngwair-Madem Wangu | Download Mp3 Music
"Baada ya hayati Ngwair kufanya wimbo uitwao MADEMU WANGU, kwa heshima yangu kwake nikapendekeza kurudia wimbo huo kwa kutumia mashairi yangu, kwa bahati nzuri uongozi wa Bongo Records chini ya P Funk umeridhishwa na kazi yangu hivyo kunipa Go Ahead. Mixing imefanywa na mtayarishaji Palla. Ahsanteni na naomba muupokee pia...." P The Mc aliiambia Innowise Blog jana.

No comments: