Header Ads

HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOPOKELEWA NA WATANZANIA LEO UWANJA WA NDEGE



Mashabiki wa Yanga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuipokea timu yao ambayo imewasili leo ikitokea Comoro ambako iliitwanga Ngaya kwa mabao 5-1 katika mechi ya kwanza ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika.
















No comments:

Powered by Blogger.