Header Ads

Hatimaye Tundu Lissu Apewa Dhamana

Hatimaye Tundu Lissu Apewa Dhamana
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka manne ya uchochezi.

Wakili wa Serikali Kishenyi Mutalemwa  aliwasilisha maombi ya kupinga dhamana yaTundu Lissu kwa madai kwamba   amekuwa na mwenendo unaohatarisha amani si tu kwa wanajamii, bali hata kwake mwenyewe kwa kuendelea kutoa maneno ya uchochezi.



Hakimu Huruma Shaidi, ametupilia mbali ombi hilo la serikali na 
kumpa Tundu Lissu dhamana ya shilingi Milioni 20

No comments:

Powered by Blogger.