Header Ads

Breaking News..Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA,Tundu Lissu Amekamatawa Jioni Hii na Polisi.!





Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.

Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.

No comments:

Powered by Blogger.