AUDIO: Gwajima Atibua Yote Kuhusu Elimu ya Makonda...amethibitisha jinsi vyeti bandia vilivyotumika!!
Askofu Gwajima amesema kuwa anamfahamu sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba hilo la Paul Makonda ni la mwenye vyeti hivyo.
Aidha, Askofu Gwajima amedai kuwa atashangaa kama Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako atalifumbia macho jambo hili.
Pia ametishia kuwa, kama mamlaka husika hazitachukua hatua haraka basi yeye atatoka hadharani na vyeti hivyo.
MSIKILIZE HAPA ASKOFU GWAJIMA AKIONGEA
MSIKILIZE HAPA ASKOFU GWAJIMA AKIONGEA


No comments: