Afande Sele azungumzia ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na Paul Makonda
Afande ameandika ‘Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee…..’



No comments: