Header Ads

Fid Q awasurprise mashabiki wake na hii
Katika hatua ambayo pengine haikutegemewa na wengi kutokana na tetesi kuwa kuna bifu kati ya Mwamba wa Kaskazini Fid Q, rapper huyo kutoka Rock City (Mwanza), ameamua kuwaonesha watu kwamba hakuna bifu kati yao.

Kupitia mtandao wa Instagram, Fid amepost kipande cha video mpya ya Joh Makini na kuandika, “#newvideoalert WAYA toka kwa MWAMBA WA KASKAZINI @johmakinitz ( link ipo kwenye BIO yake… nenda kajionee MAUNYAMA.”

Post hii imeibua mijadala tofauti tofauti ikiwa mashabiki wengi wameanza kuhitaji wimbo wa pamoja kati ya wakali hao wa Hip Hop nchini na kuwashauri kuandaa show ya pamoja wazunguke mikoani kuchukua pesa zao
Hizi ni baadhi ya comments:

african__worr@therealfidq: soon collabo ipo njian…..naamini itanunua viewz bila cash mkononi nice big brav @therealfidqtammy_thebaddest๐Ÿ‘‘๐ŸŠ

mnyamwenga91: wafenyi fiesta yenu kila mkoa wewe na johmakini niamini mimi mtakuwa mabilionea

masterplanmaster: Mm snaga shidaah na nyie sema collaboration ndo hamtaki kutupatia naamin hphp nyie ndo malejendari hadi sasa mko vizur ikizngatwa wote mnangoma mpya #StayBlessed@therealfidq

yusuph.alex: Gud umetudhihirishia Huna bifu na mwamba wa kaskazin@therealfidq
sao_thimotheo: kweli kwenye group la ma mc fake admin hawez kuwa ngosha
hassanmansury: hip hop ya kweli hupigwa redion sometime maraika wa heri nao.hutembelea motoni@thanks broda ngosha

willyjozee97: Sana ngosha

charles_daniel_:makena Tusikatishane tamaa,kama unaona mbovu imba yako!tuwasapoti wasanii wetu big up @therealfidq ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š na we @johmakinitz msapoti mwenzako ka yy alivyo onyesha sapoti kwako

kimaromweusi: Sarut Ngosha nimeamini upo fea sanaa

trymjukuu: Safiii sana iwish cku mpge ngoma pamoja

tjhaniu: Hii inafanywa na wale tu wenye moyo safi.

d_mageziofficial: Sasa sina shaka kukuita legendary @therealfidq !! Huo ni utu uzima bro

Endapo Fid Q na Joh Makini wakiamua kufanya wimbo wa pamoja au kufanya tour mikoani wakaandaa show za uwanjani naamini watatengeneza pesa ndefu sana.

No comments:

Powered by Blogger.